Vipimo vipya vya Malaria TZ
Tanzania kuamua kutumia Kipimo kipya cha kugundua vijidudu vya Malaria kwa Haraka kijulikanacho kama MRDT (Malaria Rapid Diagnostic Test).
Je Wananchi wanajua kipimo hiki? ndani ya sekunde 30 tu unapata majibu yaliyo sahihi.
0 comments: