UKWELI KUHUSU VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOTUPWA BUNJU DAR ES SALAAM.
Habari zimethibitisha kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka chuo cha udaktari IMTU kilichopo Mbezi baada ya wanafunzikumaliza kutumia kwa mazoezi. Viungo hivi vilitupwa baada ya kukosa pesa za kuteketeza kwenye tanuri maalum liliopo hindu mandal baada la tanuri la muhimbili kuwabovu. -
0 comments: