TUMA PICHA, WIMBO N.K KATIKA EMAIL HII gregorycunbert@gmail.com AU PIGA 0682352328

Facebook Twitter RSS
banner

MADEMU WAMSHOBOKEA IYANYA WAKATI ANAFANYA SHOW U.S.A

HOT ARTIST FROM NIGERIA REMARKABLE AS IYANYA HAS BECOME TALK OF THE MAGAZINE DAILY ITS BECAUSE NOW HE IS HOT , GOOD STAGE PERFORM AS WELL AS DIAMOND AND DAVIDO BUT THE COMEDY EVENT HAPPEN DURING HIS LAST SHOW IN U.S.A 

SHARE THIS POST

  • Facebook
  • Twitter
  • Myspace
  • Google Buzz
  • Reddit
  • Stumnleupon
  • Delicious
  • Digg
  • Technorati
Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, contetur adipcing elit, sed do eiusmod temor incidunt ut labore et dolore agna aliqua. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

James Rodriguez completes his £60m move from Monaco to Real Madrid.

SHARE THIS POST

  • Facebook
  • Twitter
  • Myspace
  • Google Buzz
  • Reddit
  • Stumnleupon
  • Delicious
  • Digg
  • Technorati
Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, contetur adipcing elit, sed do eiusmod temor incidunt ut labore et dolore agna aliqua. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

UKWELI KUHUSU VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOTUPWA BUNJU DAR ES SALAAM.

Habari zimethibitisha kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka chuo cha udaktari IMTU kilichopo Mbezi baada ya wanafunzikumaliza kutumia kwa mazoezi. Viungo hivi vilitupwa baada ya kukosa pesa za kuteketeza kwenye tanuri maalum liliopo hindu mandal baada la tanuri la muhimbili kuwabovu.

SHARE THIS POST

  • Facebook
  • Twitter
  • Myspace
  • Google Buzz
  • Reddit
  • Stumnleupon
  • Delicious
  • Digg
  • Technorati
Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, contetur adipcing elit, sed do eiusmod temor incidunt ut labore et dolore agna aliqua. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

Je? wajua maana ya 'Ole Themba' Linah aeleza.....

‘Ole Themba’ ni jina la wimbo wa Linah ambao hivi sasa umepata nafasi sana kwenye vyombo vya habari na umekubalika na wengi kwa ubora wa audio na video. Lakini maana na alichokimaanisha moja kwa moja ni kitendawili kwa wengi.
Msanii huyu wa kike ameongea na Bongo Dot Home ya Times Fm na kueleza maana ya wimbo ambao umepewa jina la lugha ya Kizulu ‘Ole Themba’.
“Hiyo Ole Themba ni Kizulu, na maana yake ni tumaini. Kwa hiyo Ole Thembana maana yake ‘tumaini langu’ hicho ndicho nilikuwa nakimaanisha. Lakini all in all inahusu mapenzi, namwambia mpenzi wangu kuwa yeye ndiye tumaini langu na nini. Nampetipeti waswahili wanasema namjaza yaani” Amesema Linah.
Ameongeza kuwa melody na jina la wimbo huo alipewa na Uhuru wa Afrika Kusini, sehemu aliyorekodia.
Akizungumzia jinsi atakavyofanya kazi na kampuni yake mpya ya No Fake Zone akiwa kama msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki kufanya kazi na kampuni hiyo, atakuwa anafanya kazi akiwa Tanzania na kwamba recording na mambo mengine yatamlazimu kwenda Afrika Kusini kuyakamilisha.
“Ile kuagwa nilikuwa naagwa hapa katika kikundi nachofanyia kazi lakini NFZ wapo kote, wanabranch yao hapa Tanzania na ndio maana imekuwa rahisi kufanya kazi na mimi. Na nimekuwa msanii wa kwanza kufanya kazi na kampuni hiyo kwa Afrika Mashariki. But it’s an International company.”

SHARE THIS POST

  • Facebook
  • Twitter
  • Myspace
  • Google Buzz
  • Reddit
  • Stumnleupon
  • Delicious
  • Digg
  • Technorati
Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, contetur adipcing elit, sed do eiusmod temor incidunt ut labore et dolore agna aliqua. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

Mtazame T.I na Tiny uyue maisha waliyopitia pamoja mpaka sasa...

Follow T.I. as he tries to keep it all together and learn that a family that hustles together…stays together on T.I. & Tiny: The Family Hustle 
wa follow https://www.facebook.com/tiandtiny

SHARE THIS POST

  • Facebook
  • Twitter
  • Myspace
  • Google Buzz
  • Reddit
  • Stumnleupon
  • Delicious
  • Digg
  • Technorati
Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, contetur adipcing elit, sed do eiusmod temor incidunt ut labore et dolore agna aliqua. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

Drama ya talaka ya Jay Z na Beyonce imeingia hatua mpya.

Drama ya talaka ya Jay Z na Beyonce imeingia hatua mpya kutokana na ripoti kuwa Beyonce aliwafukuza mashabiki wa kike walioingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha mume wake wakati wa ziara yao, On The Run. Beyonce na Jay Z wanaendelea na ziara hiyo lakini tetesi za uwezekano kwa kuwepo wa talaka yao zimeendelea kushika kasi. Vyanzo vimesema kuwa uchepukaji wa Jay Z umemvunja moyo mkewe na hivyo kuna uwezekano mkubwa wakaachana. Ripoti mpya kutoka jarida la Star inadai kuwa mashaka kati ya wanandoa hayo ni mengi. Jarida hili limevinukuu vyanzo vilivyosema: Jay alikuwa amezungukwa na wasichana wengi chumbani mwake na Beyonce akawafukuza.” Limesema vyanzo vimedai kuwa wanandoa hao wanatumia vyumba tofauti vya kuvalia japo vipo jirani. Kuna tetesi kuwa Jay Z amewahi kuwa na uhusiano na Rihanna, Rita Ora na kwamba amekuwa na uhusiano wa kimapenzi wa muda mrefu na muimbaji wa R&B, Mya ambaye hata hivyo amekanusha. Kutokana na ripoti za mumewe kumsaliti, inadaiwa kuwa Beyonce anafikiria kutaka pewa talaka yake. 

SHARE THIS POST

  • Facebook
  • Twitter
  • Myspace
  • Google Buzz
  • Reddit
  • Stumnleupon
  • Delicious
  • Digg
  • Technorati
Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, contetur adipcing elit, sed do eiusmod temor incidunt ut labore et dolore agna aliqua. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

MSIBA: Johari afiwa na baba yake.

R.IP baba yetu kipenzi CLEMENT KIENZE CHAGULA tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi .daima tutakukumbuka milele pumzika kwa amani. Amini.

SHARE THIS POST

  • Facebook
  • Twitter
  • Myspace
  • Google Buzz
  • Reddit
  • Stumnleupon
  • Delicious
  • Digg
  • Technorati
Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, contetur adipcing elit, sed do eiusmod temor incidunt ut labore et dolore agna aliqua. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

MKUDE SIMBA AAMIA KWA RIYAMA ALI... CHEKI ALICHOKISEMA HAPA.

Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.
 Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii  nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo.
Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika
 
"Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera kwa hilo kwanza kwa sababu hiyo ndio sifa kubwa ya msanii kiukweli anajua anastahili sifa maana mpaka anakera mh! cjui niseme anaboa..!! ww mdada unajua mpka unaboaaaa

SHARE THIS POST

  • Facebook
  • Twitter
  • Myspace
  • Google Buzz
  • Reddit
  • Stumnleupon
  • Delicious
  • Digg
  • Technorati
Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, contetur adipcing elit, sed do eiusmod temor incidunt ut labore et dolore agna aliqua. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

Vipimo vipya vya Malaria TZ

Tanzania kuamua kutumia Kipimo kipya cha kugundua vijidudu vya Malaria kwa Haraka kijulikanacho kama MRDT (Malaria Rapid Diagnostic Test).

Je Wananchi wanajua kipimo hiki? ndani ya sekunde 30 tu unapata majibu yaliyo sahihi.

SHARE THIS POST

  • Facebook
  • Twitter
  • Myspace
  • Google Buzz
  • Reddit
  • Stumnleupon
  • Delicious
  • Digg
  • Technorati
Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, contetur adipcing elit, sed do eiusmod temor incidunt ut labore et dolore agna aliqua. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

copy swaggz then paste kama kawa....

https://www.facebook.com/pages/TOP-ZA-TOWN/1445710982365460

SHARE THIS POST

  • Facebook
  • Twitter
  • Myspace
  • Google Buzz
  • Reddit
  • Stumnleupon
  • Delicious
  • Digg
  • Technorati
Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, contetur adipcing elit, sed do eiusmod temor incidunt ut labore et dolore agna aliqua. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

Dunia yamkumbuka hayati Mandela

Wananchi wa Afrika Kusini wamekuwa wakifanya shughuli mbali mbali za kijamii kumkumbuka.
Waziri wa Mambo ya nchi za njee wa A-Kusini pamoja na kikosi cha mabalozi kadha wanaoishi A-Kusini wameweza kufanya usafi katika kituo kimoja cha magari ya abiria (Daladala) mjini Pretoria.Moja ya shughuli hizo imekua kufanya usafi.
Huu ulikuwa wito wa Rais Jacob Zuma kwa raia wa afrika ya kusini kulisafisha taifa lao.
Lakini baadhi yao wamelalamika wakisema kuwa hiyo ni kazi ya serikali.

Sanamu ya hayati Nelson Mandela
Ili kuadhimisha kuzaliwa kwake mamilioni ya watu pia wamejitolea kutumia dakika 67 za mda wao kufanya mambo mema ili kuadhimisha miaka 67 aliyotumia kama mwanaharakati wa kisiasa.
Vuguvu hilo lilianzia mjini Johanesburg na New York mnamo mwaka 2009 lakini sasa linasimamia mataifa 126.
Bwana Mandela, aliyefariki mwaka jana alisifika sana kwa kupigana vita dhidi ya utawala wa mzungu.
Aliishi grezani mwa miaka 27 kabla ya kuwa rais wa kwanza mzalendo nchini Afrika Kusini mwaka 1994.
Kabla ya kifo chake aliugua homa ya mapafu kwa mda mrefu, ugonjwa ambao mara kwa mara ulikuwa unazuka mwilini mwaka hata baada ya matibabu.

Mnamo siku ya Alhamisi, vitu vinavyosimulia maisya yake vilinadiwa kama kumbukumbu kwa maisha yake na kuchangisha pesa ili kusaidia shirika la kibindamu. from bbc swahili.

SHARE THIS POST

  • Facebook
  • Twitter
  • Myspace
  • Google Buzz
  • Reddit
  • Stumnleupon
  • Delicious
  • Digg
  • Technorati
Author: admin
Lorem ipsum dolor sit amet, contetur adipcing elit, sed do eiusmod temor incidunt ut labore et dolore agna aliqua. Lorem ipsum dolor sit amet.

0 comments:

CHRIS BROWN NA MTINDO MPYA WA NYWELE

CHRIS BROWN  NA MTINDO MPYA WA NYWELE COPY SWAGGZ KAMA UMEIPENDA  (MUONEKAKANO MPYA BAADA YA KUTEMANA NA RIHHANA NA BIFU NA DRAKE KUISHA).