TUMA PICHA, WIMBO N.K KATIKA EMAIL HII gregorycunbert@gmail.com AU PIGA 0682352328

Facebook Twitter RSS
banner

Latest News

MADEMU WAMSHOBOKEA IYANYA WAKATI ANAFANYA SHOW U.S.A

HOT ARTIST FROM NIGERIA REMARKABLE AS IYANYA HAS BECOME TALK OF THE MAGAZINE DAILY ITS BECAUSE NOW HE IS HOT , GOOD STAGE PERFORM AS WELL AS DIAMOND AND DAVIDO BUT THE COMEDY EVENT HAPPEN DURING HIS LAST SHOW IN U.S.A 

James Rodriguez completes his £60m move from Monaco to Real Madrid.




UKWELI KUHUSU VIUNGO VYA BINADAMU VILIVYOTUPWA BUNJU DAR ES SALAAM.



Habari zimethibitisha kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka chuo cha udaktari IMTU kilichopo Mbezi baada ya wanafunzikumaliza kutumia kwa mazoezi. Viungo hivi vilitupwa baada ya kukosa pesa za kuteketeza kwenye tanuri maalum liliopo hindu mandal baada la tanuri la muhimbili kuwabovu.

Je? wajua maana ya 'Ole Themba' Linah aeleza.....


‘Ole Themba’ ni jina la wimbo wa Linah ambao hivi sasa umepata nafasi sana kwenye vyombo vya habari na umekubalika na wengi kwa ubora wa audio na video. Lakini maana na alichokimaanisha moja kwa moja ni kitendawili kwa wengi.
Msanii huyu wa kike ameongea na Bongo Dot Home ya Times Fm na kueleza maana ya wimbo ambao umepewa jina la lugha ya Kizulu ‘Ole Themba’.
“Hiyo Ole Themba ni Kizulu, na maana yake ni tumaini. Kwa hiyo Ole Thembana maana yake ‘tumaini langu’ hicho ndicho nilikuwa nakimaanisha. Lakini all in all inahusu mapenzi, namwambia mpenzi wangu kuwa yeye ndiye tumaini langu na nini. Nampetipeti waswahili wanasema namjaza yaani” Amesema Linah.
Ameongeza kuwa melody na jina la wimbo huo alipewa na Uhuru wa Afrika Kusini, sehemu aliyorekodia.
Akizungumzia jinsi atakavyofanya kazi na kampuni yake mpya ya No Fake Zone akiwa kama msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki kufanya kazi na kampuni hiyo, atakuwa anafanya kazi akiwa Tanzania na kwamba recording na mambo mengine yatamlazimu kwenda Afrika Kusini kuyakamilisha.
“Ile kuagwa nilikuwa naagwa hapa katika kikundi nachofanyia kazi lakini NFZ wapo kote, wanabranch yao hapa Tanzania na ndio maana imekuwa rahisi kufanya kazi na mimi. Na nimekuwa msanii wa kwanza kufanya kazi na kampuni hiyo kwa Afrika Mashariki. But it’s an International company.”

Mtazame T.I na Tiny uyue maisha waliyopitia pamoja mpaka sasa...

Follow T.I. as he tries to keep it all together and learn that a family that hustles together…stays together on T.I. & Tiny: The Family Hustle 
wa follow https://www.facebook.com/tiandtiny

Drama ya talaka ya Jay Z na Beyonce imeingia hatua mpya.


Drama ya talaka ya Jay Z na Beyonce imeingia hatua mpya kutokana na ripoti kuwa Beyonce aliwafukuza mashabiki wa kike walioingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha mume wake wakati wa ziara yao, On The Run. Beyonce na Jay Z wanaendelea na ziara hiyo lakini tetesi za uwezekano kwa kuwepo wa talaka yao zimeendelea kushika kasi. Vyanzo vimesema kuwa uchepukaji wa Jay Z umemvunja moyo mkewe na hivyo kuna uwezekano mkubwa wakaachana. Ripoti mpya kutoka jarida la Star inadai kuwa mashaka kati ya wanandoa hayo ni mengi. Jarida hili limevinukuu vyanzo vilivyosema: Jay alikuwa amezungukwa na wasichana wengi chumbani mwake na Beyonce akawafukuza.” Limesema vyanzo vimedai kuwa wanandoa hao wanatumia vyumba tofauti vya kuvalia japo vipo jirani. Kuna tetesi kuwa Jay Z amewahi kuwa na uhusiano na Rihanna, Rita Ora na kwamba amekuwa na uhusiano wa kimapenzi wa muda mrefu na muimbaji wa R&B, Mya ambaye hata hivyo amekanusha. Kutokana na ripoti za mumewe kumsaliti, inadaiwa kuwa Beyonce anafikiria kutaka pewa talaka yake. 

MSIBA: Johari afiwa na baba yake.






R.IP baba yetu kipenzi CLEMENT KIENZE CHAGULA tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi .daima tutakukumbuka milele pumzika kwa amani. Amini.